BongoMedia255
Ubuyu Wote Ndani......... Habari Za Town..........
Friday, January 20, 2017
KOLABO KATI YA DIAMOND NA RICK ROSS NA RIHANNA HIKI NDO ALICHO SEMA MENEJA SALAM
mambo yanazidi kua mazuri na mziki wetu unazidi kupaa katika level za kimataifa hiki ndo alicho xema salam kuhusu kolabo ya diamond na rick ross na rihanna
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
http://www.johventuretz.com/2016/12/sallam-aelezea-zilipofikia-collabo-za.html?m=1
*Tafadhali soma na uwapelekee wengine.* *Madaktari bingwa wa TANZANIA Dr.DOREEN NDANU na JACKLINE JAMES wamegundua kensa mpya kwa binadamu inayosababishwa na Silver Nitro Oxide. Unaponunua kadi ya simu usiichune kwa kucha kwani imo hiyo Silver Nitro Oxide na inaweza kusababisha kensa ya ngozi. Watumie ujumbe huu wale uwapendao.* *Nukuu muhimu za afya* *๐sikiliza simu kwa sikio la kushoto.* *๐usimeze dawa na maji baridi* *๐usile chakula kizito baada ya saa kumi na moja jioni.* *๐kunywa maji mengi asubuhi na kidogo usiku.* *๐wakati mzuri wa kulala ni kuanzia saa nne hadi kumi usiku.* *๐usilale mara baada ya kula dawa au chakula.* *๐ikiwa charge imebakia kijino cha mwisho usipokee* *simu kwani mionzi inakuwa na nguvu kwa mara 1000 zaidi.* *๐unaweza kuwatumia haya wale unaowajali?* *Mie nimeshafanya.* *Huruma haigharimu kitu lakini elimu ni nuru.* *๐ซ๐ซ๐ซ MUHIMU ๐ซ๐ซ๐ซ* *Jumuiya ya uchunguzi ya marekani imetoa majibu mapya. Usinywe chai kwenye vikombe vya plastic. Na usile Chochote kwenye mifuko ya plastic. Plastic ikikutana na joto inatoa vitu vinavyo sababisha aina 52 za kensa. Kwa hiyo ujumbe huu ni bora kuliko mijumbe 100 isiyo na maana. Tafadhali wapelekee unaowajali. Nimefanya sehemu yangu kwa wale ninao wajali๐บ.*
Thursday, January 19, 2017
Subscribe to:
Comments (Atom)